اللَّهُمَّ إِنِّي أَسْأَلُكَ خَيْرَ هَذَا الْيَوْمِ فَتْحَهُ وَنَصْرَهُ وَنُورَهُ وَبَرَكَتَهُ وَهُدَاهُ، وَأَعُوذُ بِكَ مِنْ شَرِّ مَا فِيهِ وَشَرِّ مَا بَعْدَهُ
Allahumma inni as'aluka khayra hadhal-yawmi fathahu wa nasrahu wa nurahu wa barakatahu wa hudahu, wa a'udhu bika min sharri ma fihi wa sharri ma ba'dahu
Ee Allah, nakuomba kheri ya siku hii: ushindi wake, msaada wake, nuru yake, baraka yake na uongofu wake. Na ninajilinda Kwako kutokana na shari iliyomo na shari inayofuata.